Nenda kwa yaliyomo

Pär Aron Borg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pär Aron Borg (4 Julai 1776 – 22 Aprili 1839) alikuwa mwalimu wa Uswidi na mwanzilishi wa elimu kwa watu wenye ulemavu wa kuona na ulemavu wa kusikia.