Owen Farrell
Mandhari

Owen Andrew Farrell (aliyezaliwa 24 Septemba 1991) ni mchezaji wa raga ya muungano kutoka Uingereza, anayocheza katika nafasi ya (namba 10).
Alikuwa nahodha wa timu ya taifa ya England kuanzia 2018 hadi 2023. Ingawa fly-half ndiyo nafasi yake kuu, mara nyingi alicheza pia kama (centre wa ndani) katika mechi za kimataifa.
Farrell ametumia sehemu kubwa ya maisha yake ya klabu akiwa na Saracens katika mashindano ya Premiership Rugby. Pia aliwahi kucheza kwa mkopo kwa msimu mmoja katika Bedford Blues.
Katika msimu wa 2024/25, alichezea klabu ya Ufaransa Racing 92. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://historical-stats.epcrugby.com/player/?PlayGuid=OF274612
- ↑ https://web.archive.org/web/20241227170149/http://www.espnscrum.com/timeline/rugby/player/82092.html
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Owen Farrell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |