Ouida Ramón-Moliner
Ouida Ramón-Moliner (d'Abreu; 23 Desemba 1929 – 21 Februari 2020) alikuwa daktari bingwa wa usingizi (anaesthetist) mzaliwa wa Ireland aliyefanya kazi nchini Kanada. Alianza kufanya kazi katika Hospitali Kuu ya Montreal, ambako alimsaidia Wilder Penfield katika kufanya upasuaji wa ubongo huku mgonjwa akiwa macho (Awake craniotomy) pamoja na mwanasayansi bingwa wa tiba ya usingizi Harold Griffith. Ramón-Moliner pia alifanya kazi katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Georgetown mjini Washington, D.C., Université Laval na Kitivo cha Tiba na Sayansi za Afya katika Université de Sherbrooke. Alitunukiwa Quebec Lieutenant Governor's Seniors Medal mwaka 2012, na ufadhili wa masomo uliotolewa na Champlain Regional College umepewa jina lake.
Maisha ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Mnamo tarehe 23 Desemba 1929, Ramón-Moliner alizaliwa katika Waterford nchini Ireland.[1] Alipewa jina kutokana na mwandishi wa Kiingereza Maria Louise Ramé, ambaye jina lake la kalamu lilikuwa Ouida.[2] ingawa hakwenda katika nchi aliyopanga awali ya New Zealand. Badala yake, alibaki mjini Montreal baada ya kukutana na mume wake Enrique Ramón-Moliner mwaka 1956.<ref><ref>
Huko Montreal alikamilisha mafunzo yake ya uzamili katika Hospitali ya Royal Victoria.[1]<ref>
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 {{cite news|last=Moliner|first=Marie|title=Anesthetist Ouida Ramon-Moliner was often the first woman amongst men|url=[[The(https://www.theglobeandmail.com/life/article-anesthetist-ouida-ramon-moliner-was-often-the-first-woman-amongst-men/|work=The) Globe and Mail|date=8 May 2020|accessdate=12 June 2021|archive-date=9 August 2020|archive-url=(https://web.archive.org/web/20200809153302/https://www.theglobeandmail.com/life/article-anesthetist-ouida-ramon-moliner-was-often-the-first-woman-amongst-men/|url-status=live}})
- ↑ Ramón-Moliner alikuwa mmoja wa watoto watano wa wahamiaji wenye asili ya India kutoka Mangalore kwenda Ireland.
Tangu akiwa mdogo, alipata msukumo wa kuwa daktari wa usingizi kutokana na mwanamke aliyekuwa akifanya kazi na baba yake katika taaluma hiyo. Alisomea udaktari katika Trinity College Dublin,<ref name="SRObit">["Dr. Ouida (d'Abreu) Ramon-Moliner". The Sherbrooke Record. 25–26 February 2020. [Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 June 2021. Iliwekwa mnamo 12) June 2021 – kutoka Legacy.com.
{{cite news}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help); Check date values in:|accessdate=(help)](https://web.archive.org/web/20210612123624/https://www.legacy.com/obituaries/sherbrookerecord/obituary.aspx?n=ouida-ramon-moliner-dabreu&pid=195518192|url-status=live}})
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ouida Ramón-Moliner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |