Nenda kwa yaliyomo

Otto Separy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Otto Separy (alizaliwa 5 Agosti 1957 huko Kubila) ni kasisi wa Papua Guinea Mpya na askofu wa zamani wa Dayosisi ya Kikatoliki ya Aitape. Aliteuliwa kuwa askofu mwaka 2009 na alihamia Bereina mwaka 2019.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.