Nenda kwa yaliyomo

Ottavio Accoramboni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ottavio Accoramboni (154923 Mei 1625) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki ambaye alihudumu kama Askofu Mkuu wa Urbino (16211623), Balozi wa Papa kwa Ureno (16141620), na Askofu wa Fossombrone (15791610).

Ottavio Accoramboni alizaliwa Roma katika miezi ya kwanza ya mwaka 1549, katika familia kutoka Gubbio. Alisoma katika Chuo cha Roma cha Wajesuiti na katika Chuo Kikuu cha Padova.[1][2][3][4][5][6]

  1. David Cheney. "Archbishop Ottavio Accoramboni". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. volume 1, Accoramboni, Ottavio, https://www.treccani.it/enciclopedia/ottavio-accoramboni_(Dizionario-Biografico)
  3. Biaudet, Henry (1910). Les nonciatures apostoliques permanentes jusqu'en 1648. Helsinki: Suomalainen tiedeakatemia. uk. 249,270.
  4. Eubel, Konrad (1923). HIERARCHIA CATHOLICA MEDII ET RECENTIORIS AEVI Vol III (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. ku. 198. (in Latin)
  5. Gauchat, Patritius (Patrice) (1935). HIERARCHIA CATHOLICA MEDII ET RECENTIORIS AEVI Vol IV. Münster: Libraria Regensbergiana. uk. 353. (in Latin)
  6. "Accoramboni, Octávio" (kwa Portuguese). Cátedra de Estudos Sefarditas «Alberto Benveniste». Iliwekwa mnamo 12 Juni 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.