Ottaviano Maria Sforza
Mandhari
Ottaviano Maria Sforza (1475–1545) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuwa Askofu wa Arezzo (1519–1525), Askofu wa Lodi (1497–1499, 1512–1519, na 1527–1530), Patriarki wa jimbojina la Aleksandria (1541–1545), na Askofu wa Terracina, Priverno na Sezze (1541–1545). [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Eubel, Konrad (1914). Hierarchia catholica medii et recentioris aevi (kwa Kilatini). Juz. la II (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. uk. 173.
- ↑ Eubel, Konrad (1923). Hierarchia catholica medii et recentioris aevi (kwa Kilatini). Juz. la III (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. ku. 116, 102, 220, and 310.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |