Nenda kwa yaliyomo

Othman Masoud Sharif

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
WadhifaMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Kuanza kwa kipindi2 Machi 2021
RaisiHussein Mwinyi
MtanguliziSeif Sharif Hamad
Mahali pa kuzaliwaPemba, Zanzibar
TaifaMtanzania
Chama cha kisiasaACT-Wazalendo
MkeZainab Shaib Kombo
WatotoImran Othman Masoud, Rauhiyyah Othman Masoud, Asya Othman Masoud, Shaymaa Othman Masoud, Rubina Othman Masoud, Masoud Othman Masoud, Khalil Othman Masoud, Tajmeel Othman Masoud
ElimuUDSM
University of London
University of Turin
TaalumaMwanasheria

Othman Masoud Othman Sharif ni wakili na mwanasiasa wa Tanzania anayehudumu kama Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Pia ni mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo.[1][2][3]

  1. "Masoud Othman new first Vice President". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-18. Iliwekwa mnamo 2025-09-14.
  2. "President Mwinyi appoints Othman Masoud Othman as new first Vice President". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-18. Iliwekwa mnamo 2025-09-14.
  3. "African Network of Constitutional Lawyers Profile". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-18. Iliwekwa mnamo 2025-09-14.
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Othman Masoud Sharif kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.