Oswald Lewis (askofu)
Mandhari
Oswald Lewis (alizaliwa 30 Julai 1944) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka India.
Alihudumu kama askofu wa kwanza wa Dayosisi ya Jaipur kuanzia mwaka 2005 hadi 2023.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Oswald Joseph Lewis of the Diocese of Jaipur". directory.ucanews.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Septemba 2018. Iliwekwa mnamo 2018-09-01.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |