Nenda kwa yaliyomo

Ostia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ostia ni kitongoji wa Roma kilichopo kwenye pwani ya Bahari ya Tyrrheni, karibu na mdomo wa mto Tiber. Wakazi ni 91,342 (2022).

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Mji wa kihistoria ulianzishwa karne kadhaa KK ukawa maarufu hasa katika historia ya Kanisa, lakini polepole umebaki mbali na bahari na kwa sasa uko km 4 ndani ya nchi kavu.

Katika karne ya 20 watu wengi walijenga kwenye pwani ya sasa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ostia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.