Oshri Cohen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Oshri Cohen, Leone d'Oro.

Oshri Cohen (kwa Kiebrania אושרי כהן, amezaliwa Lod, 11 Januari 1984) ni mwigizaji wa filamu kutoka Israel.

Alianza kama mwigizaji wa michezo ya watoto na amehusika katika michezo (La Vie devant soi, …), sinema (Lebanon,…) na mfululizo wa televisheni (Homeland…) [1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.ynet.co.il/articles/0,7340,L-3788948,00.html

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oshri Cohen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.