Nenda kwa yaliyomo

Oshosheni Hiveluah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oshosheni Hiveluah (22 Oktoba 1981 - 10 Oktoba 2019) [1] alikuwa mwandishi, mtayarishaji na mwongozaji wa filamu kutoka Namibia. [2] Alifahamika zaidi kwa filamu za Tjitji the Himba Girl na 100 Bucks.

  1. Solomons, Jonathan (2019-10-11). "Namibia: Film Industry Mourns Hiveluah". allAfrica.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-06-30.
  2. Ejikeme, Anene (2011-07-31). Culture and Customs of Namibia (kwa Kiingereza). ABC-CLIO. ISBN 978-0-313-35891-3.