Nenda kwa yaliyomo

Oshoke Abalu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Oshoke Abalu, (alizaliwa 19 Machi 1978) pia anajulikana kama Pamela Abalu, na mbunifu wa Nigeria na Marekani[1] Ni mwanzilishi wa kampuni ya love and Magic.[2][3][4]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Abalu alizaliwa Lagos, Nigeria na kuishi katika mji wa Kano, Kaskazini mwa Nigeria kabla ya kujiunga na shule ya bweni ya wasichana akiwa na umri wa miaka 10.[5] Baba yake alifanya kazi katika Umoja wa Mataifa[6] kitengo cha uchumi wa kilimo kilichomtambulisha katika maeneo mbalimbali duniani. Alihitimu shahada ya Usanifu kutoka Chuo kikuu cha Jimbo la Iowa, kilichopo Ames, Iowa.[6]

Mnamo 2005, Abalu alipata leseni yake ya usanifu.[1]

  1. 1 2 Porter, Jane (2017). "There are Fewer Than 400 African American Women Architects in the U.S. Meet One of Them". Time (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-28. Iliwekwa mnamo 2020-12-30. to work at the firm Perkins Eastman as an intern the summer after my freshman year...You got your architecture license in 2005
  2. "Crain's New York Business 40 Under 40". Crains New York. Iliwekwa mnamo Agosti 3, 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Bracken, David (2015). "MetLife hiring faster than expected at Cary campus". The News & Observer. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2018. "The whole building is a workplace," said Pamela Abalu, MetLife's chief architect and global head of design and construction.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Moss, J. Jennings (Novemba 29, 2017). "We're only human: Open offices get a much needed do-over". Bizjournals.com. Iliwekwa mnamo 2020-12-30.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Audrey Quinn,"Facilitator Pamela Abalu, head of global design and construction, MetLife". ZDNet. 12 Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 3 Januari 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. 1 2 "Designer You Should Know Pamela Abalu". contract. 2017-05-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-27. Iliwekwa mnamo 2020-12-29. The daughter of a United Nations diplomat, Abalu is a graduate of the College of Design at Iowa State University and a licensed architect. With previous experience at Perkins+Will and Vollmer Associates, Abalu joined MetLife in 2011 and was named to the Crain's New York Business 40 Under 40 list in 2016.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oshoke Abalu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.