Oscar Urbina Ortega
Mandhari
Oscar Urbina Ortega (alizaliwa 13 Aprili 1947) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Kolombia. Yeye ni Askofu Mkuu wa pili na wa sasa wa Jimbo Kuu la Villavicencio.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Historia - Seminario Mayor de Bogotá". seminariobogota.arquibogota.org.co. Iliwekwa mnamo 2016-06-02.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |