Oscar Fanuel Joshua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Oscar Fanuel Joshua
Maelezo binafsi
Jina kamili Oscar Fanuel Joshua
Tarehe ya kuzaliwa 6 Aprili 1986 (1986-04-06) (umri 34)
Mahala pa kuzaliwa    Morogoro, Tanzania
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Yanga Sc
Namba 3

* Magoli alioshinda

Oscar Fanuel Joshua (amezaliwa 6 Aprili 1986) ni mchezaji wa kandanda kutoka Tanzania akicheza nafasi ya beki wa kushoto. Pia anaichezea klabu mashuhuri nchini Tanzania Yanga F.C.

Kuhusu timu ya taifa[hariri | hariri chanzo]

Oscar amewahi itwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania huku akicheza michezo 14 ya Timu ya taifa ya Taifa stars mchezo wa mwisho kucheza Oscar wa timu ya Taifa ulikuwa ni mchezo kati ya Taifa Stars dhidi ya Misri Taifa stars ikifungwa 3 bila mchezo huo

Klabu alizowahi chezea[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oscar Fanuel Joshua kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.