Oscar Altamirano
Mandhari
Oscar Alberto Altamirano (alizaliwa 9 Januari 1978 mjini Buenos Aires) ni mchezaji wa soka kutoka Argentina anayekipiga katika nafasi ya mshambuliaji kwa klabu ya JJ Urquiza.[1]
Kazi ya Soka
[hariri | hariri chanzo]Mbali na kucheza nchini Argentina, Altamirano pia aliwahi kucheza soka la kulipwa nchini Colombia akiwa na klabu ya Deportivo Pasto, na nchini Chile akiwa na klabu ya Universidad de Concepción.
Klabu yake ya mwisho kabla ya kurejea uwanjani ilikuwa JJ Urquiza ya Ligi ya Primera B Metropolitana ya Argentina, pamoja na El Fortín de Olavarría.
Mnamo Machi 2024, Altamirano alirejea tena katika soka la ushindani baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na klabu ya JJ Urquiza.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Oscar Altamirano pasó a la Universidad de Concepción". www.infoeme.com (kwa Kihispania). 2 Februari 2010. Iliwekwa mnamo 2 Mei 2024.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oscar Altamirano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |