Orodha ya visiwa vya Urusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hii ni orodha ya visiwa vya Urusi vyenye eneo la zaidi ya km2 5.000.

# kisiwa Kirusi Eneo (km)2 Funguvisiwa Maeneo ya Urusi
1 Sahalin Сахалин 72.493 hakuna Sahalin Oblast
2 Severniy kisiwa Северный остров (Новая Земля) 47.079 Novaya Zemlya Arhangelsk Oblast
3 Yuzhniy kisiwa Южный остров (Новая Земля) 33.246 Novaya Zemlya Arhangelsk Oblast
4 Kotelniy Котельный 24.000 Mpya Siberia Funguvisiwa Yakutia
5 Mapinduzi ya Oktoba kisiwa Остров Октябрьской Революции 14.204 Severnaya Zemlya Krasnoyarsk Krai
6 Bolshevik Большевик 11.206 Severnaya Zemlya Krasnoyarsk Krai
7 Komsomolets Комсомолец 8.812 Severnaya Zemlya Krasnoyarsk Krai
8 Wrangel kisiwa Остров Врангеля 7.866 hakuna Okrug huru ya Chukotka
9 Mpya Siberia Новая Сибирь 6.201 Mpya Siberia Funguvisiwa Yakutia
10 Kubwa Lyahovskiy Большой Ляховский 5.135 Mpya Siberia Funguvisiwa Yakutia