Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Kiashiria cha Maendeleo ya Binadamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiashiria cha Maendeleo ya Binadamu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki
Maendeleo ya binadamu ya Rwanda, Kenya, Tanzania na Uganda kutoka 1990
     Dunia      Kenya      Uganda      Rwanda      Tanzania

Hii ni Orodha ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Kiashiria cha Maendeleo ya Binadamu . Kenya ndiyo nchi iliyo na maendeleo ya binadamu ya juu zaidi ikifuatwa na Uganda, Rwanda na Tanzania. Sudan Kusini na Somalia ndizo zilizokuwa na maendeleo ya binadamu ya chini zaidi. Jumuiya ya Afrika Mashariki ilikuwa na Kiashiria maendeleo ya binadamu 0.512 na Kuwa katika kundi la chini. [1]

Kiashiria cha Maendeleo ya Binadamu (HDI) katika Jumuiya ya Afrika Mashariki
NafasiNchiHDI
Maendeleo ya Kati
1 Kenya0.628
2 Uganda0.582
3 Rwanda0.575
4 Tanzania0.555
Maendeleo ya Chini
5 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo0.522
Jumuiya ya Afrika Mashariki0.512
6 Burundi0.439
7 Sudani Kusini0.404
8 Somalia0.308

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. UNDP. "Hdi of countries" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-03-17.