Orodha ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Pato la taifa
Mandhari
(Elekezwa kutoka Orodha ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa GDP)

Mnamo 2025, Kenya ndio iliyo na uchumi mkubwa zaidi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki ikichangia asilimia 37 ya uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinafuata zikichangia asilimia 24% na 22% mtawaliwa ya uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.Jumuiya ya Afrika Mashariki ilikuwa na pato la taifa dola bilioni 360. Kenya na Tanzania ziliongoza kwa pato la taifa kwa kila mtu zikiwa na plt kwa kila mtu dola 2,220 na 1,220 mtawaliwa. Burundi na Sudan Kusini ndizo nchi zilizokuwa na pato la taifa kwa kila mtu chache sana. [1]
Orodha
[hariri | hariri chanzo]| Orodha | Nchi | PLT (Kawaida) 'bilioni USD | PLT (PPP) 'bilioni USD | Kwa kila mtu (Kawaida) | Kwa kila mtu (PPP) | Asilimia ya EAC |
|---|---|---|---|---|---|---|
| – | 399.56 | 1,199.42 | $1,197 | $3,592 | 100.0% | |
| 1 | 131.67 | 401.97 | $2,468 | $7,535 | 36.55% | |
| 2 | 85.98 | 293.59 | $1,318 | $4,501 | 23.87% | |
| 3 | 79.12 | 200.76 | $743 | $1,884 | 21.96% | |
| 4 | 64.28 | 187.11 | $1,339 | $3,897 | 17.85% | |
| 5 | 14.77 | 58.12 | $1,043 | $4,105 | 4.10% | |
| 6 | 12.99 | 32.5 | $766 | $1,916 | 3.61% | |
| 7 | 6.75 | 13.98 | $493 | $1,020 | 1.87% | |
| 8 | 4.00 | 11.39 | $252 | $716 | 1.11% |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Orodha ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Pato la taifa". www.imf.org (kwa Kiingereza). International Monetary Fund. Iliwekwa mnamo 2025-04-21.