Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya nchi za Afrika mashariki kulingana na mapato ya wastani yaliyorekebishwa ukosefu wa usawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Orodha ya nchi za Afrika kulingana na mapato ya wastani ya taifa yaliyorekebishwa ukosefu wa usawa

Hii ni Orodha ya nchi za Afrika kulingana na mapato ya wastani ya taifa yaliyorekebishwa ukosefu wa usawa (kwa Kiingereza Gross National Income Adjusted Inequality) . Shelisheli na Morisi ndizo nchi zilizo na mapato ya juu Sana yaliyorekebishwa ukosefu wa usawa. Sudan Kusini, Burundi na Jamhuri ya Afrika ya Kati ndizo nchi zilizo na mapato yaliyorekebishwa ukosefu wa usawa ya china sana.Misri, Gabon na Guinea ya Ikweta pia zina mapato ya juu yaliyozidi dola 10,000 za Marekani [1]

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na mapato ya wastani ya taifa yaliyorekebishwa ukosefu wa usawa
OrodhaNchiMapato
1Bendera ya Shelisheli Shelisheli27,893
2Bendera ya Morisi Morisi20,583
3Bendera ya Misri Misri14,310
4Bendera ya Gabon Gabon14,213
5Bendera ya Aljeria Aljeria12,829
6Bendera ya Gine ya Ikweta Guinea ya Ikweta11,441
7Bendera ya Libya Libya9,993
8Bendera ya Tunisia Tunisia9,278
9Bendera ya Botswana Botswana9,209
10Bendera ya Cabo Verde Cape Verde6,715
11Bendera ya Moroko Moroko6,425
12Bendera ya Eswatini Eswatini5,884
13Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini5,816
14Bendera ya Mauritania Mauritania5,201
15Bendera ya Jibuti Jibuti4,962
16Bendera ya Namibia Namibia4,798
17Bendera ya Angola Angola4,773
18Bendera ya Ghana Ghana4,549
19Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire4,429
20Bendera ya Kenya Kenya4,389
21Bendera ya Nigeria Nigeria4,244
22Bendera ya Jamhuri ya Kongo Jamhuri ya Kongo3,450
23Bendera ya São Tomé na Príncipe São Tomé na Príncipe3,254
24Bendera ya Kamerun Kamerun3,192
25Bendera ya Senegal Senegal3,031
26Bendera ya Benin Benin2,952
27Bendera ya Zimbabwe Zimbabwe2,763
28Bendera ya Ethiopia Ethiopia2,624
29Bendera ya Gine Guinea2,592
30Bendera ya Zambia Zambia2,585
31Bendera ya Tanzania Tanzania2,457
32Bendera ya Sierra Leone Sierra Leone2,282
33Bendera ya Gambia Gambia2,237
34Bendera ya Rwanda Rwanda2,093
35Bendera ya Uganda Uganda2,086
36Bendera ya Togo Togo2,043
37Bendera ya Komori Komori1,942
38Bendera ya Burkina Faso Burkina Faso1,784
39Bendera ya Chad Chad1,772
40Bendera ya Mali Mali1,755
41Bendera ya Ginebisau Guinea-Bissau1,711
42Bendera ya Sudan Sudan1,498
43Bendera ya Lesotho Lesotho1,493
44Bendera ya Eritrea Eritrea1,486
45Bendera ya Niger Niger 1,202
46Bendera ya Madagaska Madagaska1,196
47Bendera ya Somalia Somalia1,192
48Bendera ya Liberia Liberia1,142
49Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo994
50Bendera ya Malawi Malawi941
51Bendera ya Msumbiji Msumbiji917
52Bendera ya Jamhuri ya Afrika ya Kati Jamhuri ya Afrika ya Kati741
53Bendera ya Burundi Burundi616
54Bendera ya Sudan Kusini Sudan Kusini416
  1. World population review. "Kiashiria cha Gini, 2025" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-03-20.