Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na ukosefu wa usawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni Orodha ya nchi za Afrika kwa ukosefu wa usawa kulingana na Kiashiria cha gini.Nchi za eneo la Afrika ya Kusini zina ukosefu wa usawa wa juu sana zikilinganishwa na maeneo hayo mengine. Afrika Kusini na Namibia ndizo zilizo na ukosefu wa usawa wa juu sana, Aljeria ndio nchi pekee iliyo na ukosefu wa chini au chini ya thelathini.Eneo la Afrika ya Kaskazini lina ukosefu wa chini ikilinganishwa na maeneo hayo mengine.[1]

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na ukosefu wa usawa (Gini)
RankNchiGini
Juu Sana (Gini > 60)
1Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini63.00
Juu (Gini > 50)
2Bendera ya Namibia Namibia59.10
3Bendera ya Eswatini Eswatini54.60
4Bendera ya Lesotho Lesotho54.20
5Bendera ya Botswana Botswana53.30
6Bendera ya Angola Angola51.30
Kati (Gini > 30)
7Bendera ya Komori Komori49.70
8Bendera ya São Tomé na Príncipe São Tomé na Príncipe47.60
9Bendera ya Gine ya Ikweta Guinea ya Ikweta47.40
10Bendera ya Msumbiji Msumbiji47.00
11Bendera ya Jamhuri ya Kongo Jamhuri ya Kongo46.10
12Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo46.00
13Bendera ya Sudan Kusini Sudan Kusini45.50
14Bendera ya Zimbabwe Zimbabwe45.50
15Bendera ya Ginebisau Guinea-Bissau45.00
16Bendera ya Malawi Malawi45.00
17Bendera ya Rwanda Rwanda44.20
18Bendera ya Ghana Ghana43.00
19Bendera ya Jamhuri ya Afrika ya Kati Jamhuri ya Afrika ya Kati43.00
20Bendera ya Uganda Uganda42.70
21Bendera ya Kamerun Kamerun42.70
22Bendera ya Jibuti Jibuti42.30
23Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire42.10
24Bendera ya Cabo Verde Cape Verde41.10
25Bendera ya Gabon Gabon41.10
26Bendera ya Tanzania Tanzania40.50
27Bendera ya Sudan Sudan40.30
28Bendera ya Senegal Senegal40.10
29Bendera ya Gine Guinea40.00
30Bendera ya Madagaska Madagaska39.90
31Bendera ya Liberia Liberia39.90
32Bendera ya Moroko Moroko39.50
33Bendera ya Niger Niger 39.30
34Bendera ya Kenya Kenya38.70
35Bendera ya Zambia Zambia38.30
36Bendera ya Mali Mali38.20
37Bendera ya Togo Togo37.90
38Bendera ya Burundi Burundi37.50
39Bendera ya Chad Chad37.40
40Bendera ya Burkina Faso Burkina Faso37.40
41Bendera ya Mauritania Mauritania36.80
42Bendera ya Gambia Gambia35.90
43Bendera ya Morisi Morisi35.80
44Bendera ya Tunisia Tunisia35.30
45Bendera ya Ethiopia Ethiopia35.20
46Bendera ya Somalia Somalia35.20
47Bendera ya Nigeria Nigeria35.10
48Bendera ya Sierra Leone Sierra Leone35.00
49Bendera ya Libya Libya34.90
50Bendera ya Benin Benin34.40
51Bendera ya Shelisheli Shelisheli32.10
52Bendera ya Eritrea Eritrea31.40
53Bendera ya Misri Misri31.20
Chini (Gini < 30)
54Bendera ya Aljeria Aljeria27.60

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya nchi za Afrika mashariki kulingana na mapato ya wastani yaliyorekebishwa ukosefu wa usawa

  1. World population review. "Kiashiria cha Gini, 2025" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-03-20.