Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya nchi kwa Pato la Taifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya nchi kulingana na pato la taifa mnamo Oktoba 2024. Pato la taifa huchapishwa na Shirika la Kifedha la Kimataifa mara mbili kwa mwaka, mnamo Aprili na Oktoba.[1] Pato la Taifa ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa fulani katika mwaka fulani. Nchi zimepangwa kulingana na makadirio ya PLT ya kawaida kutoka kwa taasisi za kifedha na takwimu, ambazo huhesabiwa kwa kutumia viwango vya kubadilisha fedha vya soko au vile rasmi vya serikali. PLT ya kawaida haizingatii tofauti za gharama ya maisha katika nchi tofauti, na matokeo yanaweza kutofautiana sana kutoka mwaka mmoja hadi mwingine kutokana na mabadiliko ya viwango vya ubadilishaji wa sarafu ya nchi husika.

Ramani ya nchi kulingana na pato la taifa

Hii ni orodha ya nchi kulingana na pato la taifa chapisho la 2024 kutoka Shirika la Kifedha la Kimataifa

Cheo Nchi Pato la taifa (kwa mabilioni USD)
1 Marekani 29,170
2 Jamhuri ya Watu wa China 18,270
3 Ujerumani 4,710
4 Japani 4,070
5 India 3,890
6 Uingereza 3,590
7 Ufaransa 3,170
8 Italia 2,380
9 Kanada 2,210
10 Brazili 2,190
11 Shirikisho la Urusi 2,180
12 Jamhuri ya Korea 1,870
13 Meksiko 1,850
14 Australia 1,800
15 Uhispania 1,700
16 Indonesia 1,400
17 Jamhuri ya Uturuki 1,340
18 Uholanzi 1,220
19 Saudia 1,100
20 Uswisi 942.27
21 Polandi 862.91
22 Taiwan,China 775.02
23 Ubelgiji 662.18
24 Uswidi 609.04
25 Argentina 604.38
26 Eire 560.57
27 Falme za Kiarabu 545.05
28 Austria 535.8
29 Singapuri 530.71
30 Tailandi 528.92
31 Israeli 528.07
32 Norwei 503.75
33 Ufilipino 470.06
34 Vietnamu 468.49
35 Bangladesh 451.47
36 Malaysia 439.75
37 Irani 434.24
38 Kolombia 417.21
39 Denmarki 412.29
40 Afrika Kusini 403.05
41 Hong Kong SAR 401.75
42 Romania 380.56
43 Misri 380.04
44 Pakistan 374.6
45 Jamhuri ya Cheki 342.99
46 Chile 328.72
47 Ufini 306.08
48 Ureno 303.03
49 Kazakhstan 292.55
50 Peru 283.31
51 Iraki 264.15
52 Algeria 260.13
53 Ugiriki 252.73
54 Nyuzilandi 252.24
55 Hungaria 228.81
56 Qatar 221.41
57 Nigeria 199.72
58 Ukraine 184.1
59 Kuwaiti 161.82
60 Moroko 157.09
61 Ethiopia 145.03
62 Jamhuri ya Slovak 142.62
63 Jamhuri ya Dominika 126.24
64 Ecuador 121.43
65 Puerto Rico 120.97
66 Kenya 116.32
67 Angola 113.29
68 Uzbekistan 112.65
69 Guatemala 112.37
70 Oman 109.99
71 Bulgaria 108.43
72 Venezuela 106.33
73 Kostarika 95.15
74 Luxembourg 91.21
75 Kroeshia 89.67
76 Panama 87.35
77 Côte d'Ivoire 86.99
78 Turkmenistan 83.88
79 Lithuania 82.79
80 Serbia 82.55
81 Uruguay 82.48
82 Tanzania 79.87
83 Azerbaijan 75.65
84 Ghana 75.31
85 Slovenia 73.2
86 Belarus 73.13
87 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 72.48
88 Myanmar 64.28
89 Uganda 55.59
90 Macao SAR 53.45
91 Cameroon 53.39
92 Jordan 53.31
93 Tunisia 52.64
94 Bolivia 48.17
95 Bahrain 47.81
96 Kambodia 47.15
97 Latvia 45.52
98 Paraguay 44.94
99 Libya 44.81
100 Nepal 43.67
101 Estonia 43.04
102 Honduras 36.74
103 Zimbabwe 35.92
104 El Salvador 35.85
105 Kuprosi 34.79
106 Senegal 33.69
107 Georgia 33.19
108 Iceland 32.92
109 Papua New Guinea 31.9
110 Sudan 29.79
111 Bosnia na Herzegovina 28.4
112 Trinidad na Tobago 28.14
113 Haiti 26.27
114 Albania 26.13
115 Zambia 25.91
116 Guinea 25.47
117 Armenia 25.25
118 Malta 24.4
119 Mongolia 23.67
120 Guyana 23.03
121 Msumbiji 22.5
122 Burkina Faso 21.86
123 Mali 21.65
124 Benin 21.32
125 Gabon 20.9
126 Jamaica 20.59
127 Botswana 19.97
128 Niger 19.6
129 Nicaragua 19.41
130 Chad 18.67
131 Moldova 18.06
132 Madagaska 17.21
133 Yemen 16.19
134 Mauritius 15.89
135 Masedonia ya Kaskazini 15.86
136 Jamhuri ya Kyrgyz 15.77
137 Brunei 15.71
138 Jamhuri ya Kongo 15.04
139 Lao P.D.R. 14.95
140 Bahamas 14.83
141 Rwanda 13.66
142 Namibia 13.19
143 Tajikistan 13
144 Guinea ya Ikweta 12.88
145 Somalia 12.73
146 Kosovo 11.17
147 Malawi 10.84
148 Mauritania 10.76
149 Togo 9.77
150 Montenegro 8.11
151 Sierra Leone 7.41
152 Barbados 7.2
153 Maldives 6.98
154 Fiji 5.77
155 Sudan Kusini 5.27
156 Eswatini 5.15
157 Surinamu 4.92
158 Liberia 4.76
159 Djibouti 4.33
160 Burundi 4.29
161 Aruba 4.26
162 Andorra 3.93
163 Belize 3.34
164 Bhutan 3.15
165 Jamhuri ya Afrika ya Kati 2.82
166 Cabo Verde 2.76
167 Gambia 2.69
168 Saint Lucia 2.57
169 Lesotho 2.3
170 Antigua and Barbuda 2.29
171 Bendera ya Ginebisau Guinea Bissau 2.19
172 Bendera ya Shelisheli Shelisheli 2.14
173 Bendera ya San Marino San Marino 2.05
174 Timor ya Mashariki}} 1.99
175 Visiwa vya 1.73
176 Bendera ya Komori Komori 1.45
177 Bendera ya Grenada Grenada 1.39
178 Saint Vincent and Grenadini 1.17
179 Bendera ya Vanuatu Vanuatu 1.17
180 Bendera ya Saint Kitts and Nevis Saint Kitts and Nevis 1.16
181 Bendera ya Samoa Samoa 1.07
182 Bendera ya São Tomé na Príncipe São Tomé na Príncipe 0.81
183 Bendera ya Dominica Dominica 0.70
184 Bendera ya Tonga Tonga 0.55
185 Bendera ya Federated States of Micronesia Micronesia 0.48
186 Bendera ya Palau Palau 0.32
187 Bendera ya Kiribati Kiribati 0.31
188 Visiwa vya Marshall 0.28
189 Bendera ya Nauru Nauru 0.16
190 Bendera ya Tuvalu Tuvalu 0.07
  1. "Imf Economic Outlook 2024 October". Imf.org. Iliwekwa mnamo 2025-02-09.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya nchi kwa Pato la Taifa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.