Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya nchi kulingana na Kielezo cha Ufasaha wa Kiingereza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni Orodha ya nchi kulingana na Kielezo cha Ufasaha wa Kiingereza mnamo 2024 [1]. Kielezo cha Ufasaha wa Kiingereza cha EF (EF EPI) ni mfumo wa kiwango cha kimataifa kinachopima ufasaha wa lugha ya Kiingereza katika nchi zisizo na wazungumzaji wa asili wa Kiingereza. Kielezo hiki huchapishwa kila mwaka na "Education First (EF)" , [2]

Nchi au eneo Alama Kundi la ufasaha
Bendera ya Uholanzi Uholanzi 636 Ufasaha wa Juu Sana
Bendera ya Norwei Norwei 610 Ufasaha wa Juu Sana
Bendera ya Singapuri Singapore 609 Ufasaha wa Juu Sana
Bendera ya Uswidi Uswidi 608 Ufasaha wa Juu Sana
Bendera ya Kroatia Kroatia 607 Ufasaha wa Juu Sana
Bendera ya Ureno Ureno 605 Ufasaha wa Juu Sana
Bendera ya Denmark Denmark 603 Ufasaha wa Juu Sana
Bendera ya Ugiriki Ugiriki 602 Ufasaha wa Juu Sana
Bendera ya Austria Austria 600 Ufasaha wa Juu Sana
Bendera ya Ujerumani Ujerumani 598 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 594 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Romania Romania 593 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Ubelgiji Ubelgiji 592 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Ufini Finland 590 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Poland Poland 588 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Bulgaria Bulgaria 586 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Hungaria Hungaria 585 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Slovakia Slovakia 584 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Kenya Kenya 581 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Estonia Estonia 578 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Luxemburg Luxembourg 576 Ufasaha wa Juu
Ufilipino 570 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Lituanya Lithuania 569 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Serbia Serbia 568 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Ucheki Ucheki 567 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Malaysia Malaysia 566 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Surinam Suriname 563 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Argentina Argentina 562 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Kupro Kupro 558 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Nigeria Nigeria 557 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Uswisi Uswisi 550 Ufasaha wa Juu
Bendera ya Hong Kong Hong Kong 549 Ufasaha wa Kati
Honduras 545 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Georgia (nchi) Georgia 543 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Belarus Belarus 539 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Hispania Hispania 538 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Uruguay Uruguay 538 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Armenia Armenia 537 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Moldova Moldova 536 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Ukraine Ukraine 535 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Costa Rica Costa Rica 534 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Ghana Ghana 534 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Albania Albania 533 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Urusi Urusi 532 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Paraguay Paraguay 531 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Italia Italia 528 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Bolivia Bolivia 525 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Chile Chile 525 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Ufaransa Ufaransa 524 Ufasaha wa Kati
Korea Kusini 523 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Israel Israeli 522 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Kuba Cuba 520 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Peru Peru 519 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Uganda Uganda 518 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Nepal Nepal 512 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Venezuela Venezuela 510 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Guatemala Guatemala 507 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Nikaragua Nicaragua 505 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Bangladesh Bangladesh 500 Ufasaha wa Kati
Bendera ya Uajemi Iran 499 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Ethiopia Ethiopia 498 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Vietnam Vietnam 498 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Uhindi India 490 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Tanzania Tanzania 487 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Kolombia Kolombia 485 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Moroko Morocco 479 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Indonesia Indonesia 468 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Brazil Brazil 466 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Ekuador Ecuador 465 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Jamhuri ya Watu wa China China 455 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Japani Japan 454 Ufasaha wa Chini
Bendera ya Myanmar Myanmar 449 Ufasaha wa Chini Sana
Bendera ya Afghanistan Afghanistan 447 Ufasaha wa Chini Sana
Bendera ya Sudan Sudan 432 Ufasaha wa Chini Sana
Bendera ya Uthai Thailand 415 Ufasaha wa Chini Sana
Bendera ya Iraq Iraq 414 Ufasaha wa Chini Sana
Bendera ya Saudi Arabia Saudi Arabia 417 Ufasaha wa Chini Sana
Bendera ya Yemen Yemen 394 Ufasaha wa Chini Sana
  1. "EF EPI 2024 - Kielezo cha Ufasaha wa Kiingereza cha EF". 2024. Iliwekwa mnamo 2025-01-04.
  2. "About EF EPI". www.ef.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-03-24.