Orodha ya mito ya kaunti ya Mombasa
Mandhari
Orodha ya mito ya kaunti ya Mombasa inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya mito ya eneo hilo la Kenya kusini mashariki (kwenye bahari ya Hindi).
- Mto Beguro
- Mto Bokini
- Mto Chidaluni
- Mto Gandeni
- Mto Golo
- Mto Kisiwani
- Mto Kokota
- Mto Kombeni
- Mto Lwandani
- Mto Mafigani
- Mto Maru
- Mto Mbuzini
- Mto Mtomkuu
- Mto Mtsapuni
- Mto Mvuvu
- Mto Tsalu
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya mito ya kaunti ya Mombasa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |