Orodha ya mito ya kaunti ya Garissa
Mandhari
Orodha ya mito ya kaunti ya Garissa inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya mito ya eneo hilo la Kenya mashariki.
- Mto Barafin (korongo)
- Mto Bilgis
- Mto Faf Jelu (korongo)
- Mto Golana Gof (korongo)
- Mto Jilango (korongo)
- Mto Kaeri Tabaken
- Mto Kisirep
- Mto Laga Doi (korongo)
- Mto Laga Kundi (korongo)
- Mto Lak Afwein (korongo)
- Mto Lak Mura (korongo)
- Mto Lak Telangor (korongo)
- Mto Male Burai
- Mto Ndivi
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya mito ya kaunti ya Garissa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |