Mikoa ya Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Orodha ya mikoa ya Japani)
Ramani ya mikoa ya Japani

Mikoa ya Japani ni ngazi ya kiutawala chini ya ngazi ya taifa. Japani imegawiwa katika mikoa 47.

Mikoa mitatu ni miji ya Tokyo, Osaka na Kyoto.

Kisiwa cha Hokkaida ni mkoa mmoja tu.

Visiwa vingine vimegawiwa kwa mikoa 43 vingine.

Mikoa vimegawiwa ndani yao katika wilaya. Miji mikubwa zaidi iko chini ya mmkoa moja kwa moja. Wananchi huchagua bunge la mkoa linalosimamia shughuli zinazoamuliwa kwenye ngazi yake na kumchagua Mkuu wa Mkoa.






Orodha ya mikoa[hariri | hariri chanzo]

Nembo Mkoa Kijapani Makao makuu Kanda Kisiwa Wakazi

~2000

Eneo (km²) Wakazi
/km²
Wilaya Miji ISO
Emblem of Aichi Prefecture.svg Mkoa wa Aichi 愛知県 Nagoya Chūbu Honshū 7,043,235 5,153.81 1,366 15 88 JP-23
Emblem of Akita Prefecture.svg Mkoa wa Akita 秋田県 Akita Tōhoku Honshū 1,189,215 11,612.11 102 8 29 JP-05
Emblem of Aomori Prefecture.svg Mkoa wa Aomori 青森県 Aomori Tōhoku Honshū 1,475,635 9,606.26 154 8 61 JP-02
Emblem of Chiba prefecture.svg Mkoa wa Chiba 千葉県 Chiba Kantō Honshū 5,926,349 5,156.15 1,149 9 80 JP-12
Emblem of Ehime prefecture.svg Mkoa wa Ehime 愛媛県 Matsuyama Shikoku Shikoku 1,493,126 5,676.44 263 7 28 JP-38
Emblem of Fukui Prefecture.svg Mkoa wa Fukui 福井県 Fukui Chūbu Honshū 828,960 4,188.76 198 10 29 JP-18
Emblem of Fukuoka Prefecture.svg Mkoa wa Fukuoka 福岡県 Fukuoka Kyūshū Kyūshū 5,015,666 4,971.01 1,009 17 91 JP-40
Emblem of Fukushima Prefecture.svg Mkoa wa Fukushima 福島県 Fukushima Tōhoku Honshū 2,126,998 13,782.54 154 14 85 JP-07
Emblem of Gifu Prefecture.svg Mkoa wa Gifu 岐阜県 Gifu Chūbu Honshū 2,107,687 10,598.18 199 11 49 JP-21
Emblem of Gunma Prefecture.svg Mkoa wa Gunma 群馬県 Maebashi Kantō Honshū 2,024,820 6,363.16 318 12 61 JP-10
Emblem of Hiroshima Prefecture.svg Mkoa wa Hiroshima 広島県 Hiroshima Chūgoku Honshū 2,878,949 8,476.95 340 10 37 JP-34
Emblem of Hokkaido Prefecture.svg Mkoa wa Hokkaidō 北海道 Sapporo Hokkaidō Hokkaidō 5,682,950 83,452.47 68 66 207 JP-01
Emblem of Hyogo Prefecture.svg Mkoa wa Hyogo 兵庫県 Kobe Kansai Honshū 5,550,742 8,392.42 661 13 60 JP-28
Emblem of Ibaraki Prefecture.svg Mkoa wa Ibaraki 茨城県 Mito Kantō Honshū 2,985,424 6,095.62 490 13 61 JP-08
Emblem of Ishikawa Prefecture.svg Mkoa wa Ishikawa 石川県 Kanazawa Chūbu Honshū 1,180,935 4,185.32 282 7 25 JP-17
Emblem of Iwate Prefecture.svg Mkoa wa Iwate 岩手県 Morioka Tōhoku Honshū 1,416,198 15,278.51 93 12 46 JP-03
Emblem of Kagawa Prefecture.svg Mkoa wa Kagawa 香川県 Takamatsu Shikoku Shikoku 1,022,843 1,861.70 549 5 17 JP-37
Emblem of Kagoshima Prefecture.svg Mkoa wa Kagoshima 鹿児島県 Kagoshima Kyūshū Kyūshū 1,786,214 9,132.42 196 11 49 JP-46
Emblem of Kanagawa Prefecture.svg Mkoa wa Kanagawa 神奈川県 Yokohama Kantō Honshū 8,489,932 2,415.42 3,515 7 35 JP-14
Emblem of Kochi Prefecture.svg Mkoa wa Kochi 高知県 Kochi Shikoku Shikoku 813,980 7,104.70 115 6 35 JP-39
Flag of Kumamoto Prefecture.svg Mkoa wa Kumamoto 熊本県 Kumamoto Kyūshū Kyūshū 1,859,451 6,908.45 269 10 48 JP-43
Emblem of Kyoto Prefecture.svg Mkoa wa Kyoto 京都府 Kyoto Kansai Honshū 2,644,331 4,612.93 573 6 28 JP-26
Emblem of Mie Prefecture.svg Mkoa wa Mie 三重県 Tsu Kansai Honshū 1,857,365 5760.72 322 7 29 JP-24
Emblem of Miyagi Prefecture.svg Mkoa wa Miyagi 宮城県 Sendai Tōhoku Honshū 2,365,204 6,861.51 325 10 36 JP-04
Symbol of Miyazaki Prefecture.svg Mkoa wa Miyazaki 宮崎県 Miyazaki Kyūshū Kyūshū 1,170,023 6,684.67 175 8 44 JP-45
Emblem of Nagano Prefecture.svg Mkoa wa Nagano 長野県 Nagano Chūbu Honshū 2,214,409 12,598.48 163 16 120 JP-20
Emblem of Nagasaki Prefecture.svg Mkoa wa Nagasaki 長崎県 Nagasaki Kyūshū Kyūshū 1,516,536 4,092.80 371 9 79 JP-42
Emblem of Nara Prefecture.svg Mkoa wa Nara 奈良県 Nara Kansai Honshū 1,442,862 3,691.09 391 8 47 JP-29
Emblem of Niigata Prefecture.svg Mkoa wa Niigata 新潟県 Niigata Chūbu Honshū 2,475,724 12,582.37 197 16 111 JP-15
Emblem of Oita Prefecture.svg Mkoa wa Ōita 大分県 Ōita Kyūshū Kyūshū 1,221,128 5,804.24 210 12 58 JP-44
Emblem of Okayama Prefecture.svg Mkoa wa Okayama 岡山県 Okayama Chūgoku Honshū 1,950,656 7,008.63 278 18 78 JP-33
Flag of Okinawa Prefecture.svg Mkoa wa Okinawa 沖縄県 Naha Kyūshū Ryūkyū
Islands
1,318,281 2,271.30 580 5 41 JP-47
Emblem of Osaka Prefecture.svg Mkoa wa Osaka 大阪府 Osaka Kansai Honshū 8,804,806 1,893.18 4,652 5 44 JP-27
Emblem of Saga prefecture.svg Mkoa wa Saga 佐賀県 Saga Kyūshū Kyūshū 876,664 2,439.23 359 8 49 JP-41
Emblem of Saitama Prefecture.svg Mkoa wa Saitama 埼玉県 Saitama Kantō Honshū 6,938,004 3,767.09 1,827 9 90 JP-11
Emblem of Shiga Prefecture.svg Mkoa wa Shiga 滋賀県 Otsu Kansai Honshū 1,342,811 4,017.36 334 11 50 JP-25
Emblem of Shimane Prefecture.svg Mkoa wa Shimane 島根県 Matsue Chūgoku Honshū 761,499 6,707.32 114 12 59 JP-32
Emblem of Shizuoka Prefecture.svg Mkoa wa Shizuoka 静岡県 Shizuoka Chūbu Honshū 3,767,427 7,328.61 484 12 74 JP-22
Emblem of Tochigi Prefecture.svg Mkoa wa Tochigi 栃木県 Utsunomiya Kantō Honshū 2,004,787 6,408.28 313 7 33 JP-09
Emblem of Tokushima Prefecture.svg Mkoa wa Tokushima 徳島県 Tokushima Shikoku Shikoku 823,997 4,145.26 199 10 50 JP-36
Emblem of Tokyo Metropolis.svg Tokyo 東京都 Shinjuku Kantō Honshū 12,059,237 2,187.08 5,514 1 39 JP-13
Emblem of Tottori Prefecture.svg Mkoa wa Tottori 鳥取県 Tottori Chūgoku Honshū 613,229 3,507.19 175 6 39 JP-31
Emblem of Toyama Prefecture.svg Mkoa wa Toyama 富山県 Toyama Chūbu Honshū 1,120,843 4,247.22 264 6 27 JP-16
Emblem of Wakayama Prefecture.svg Mkoa wa Wakayama 和歌山県 Wakayama Kansai Honshū 1,069,839 4,725.55 226 7 50 JP-30
Emblem of Yamagata Prefecture.svg Mkoa wa Yamagata 山形県 Yamagata Tōhoku Honshū 1,244,040 9,323.34 133 9 44 JP-06
Emblem of Yamaguchi Prefecture.svg Mkoa wa Yamaguchi 山口県 Yamaguchi Chūgoku Honshū 1,528,107 6,110.76 250 11 56 JP-35
Emblem of Yamanashi prefecture.svg Mkoa wa Yamanashi 山梨県 Kofu Chūbu Honshū 888,170 4,465.37 199 8 64 JP-19

Notes: ¹ as of 2000 — ² km² — ³ per km²

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]