Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Sao Tome na Principe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya São Tomé na Príncipe

Orodha ya miji ya Sao Tome na Principe inaitaja pamoja na idadi ya wakazi mwaka 2005.

Miji ya São Tomé na Príncipe
NafasiMahaliWakaziWilaya
Sensa 1991Sensa 2001Kadirio 2005
1.São Tomé (mji mkuu)42,33149,95756,166Água Grande
2.Santo Amaro5,878-8,239Lobata
3.Neves5,9196,6357,392Lembá
4.Santana6,1906,2286,969Cantagalo
5.Trindade-6,0496,636Mé-Zóchi
6.Santa Cruz-1,8622,045Caué
7.Pantufo-1,9292,169Água Grande
8.Guadalupe-1,5431,734Lobata
9.Santo António1,0001,0101,156Pagué
10.Santa Catarina--971Lembá
11.Porto Alegre--334Caué

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]