Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Jibuti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Jibuti

Orodha ya miji ya Jibuti inataja miji mikubwa ya Jibuti pamoja na idadi ya wakazi wakati wa sensa ya mwaka 2009, halafu miji mingine ya nchi hiyo.

Nafasi Jina Wakazi Eneo (km2)
1 Jibuti 775,989 93
2 Ali Sabieh 37,939 12
3 Dikhil 24,886 4
4 Tadjoura 14,820 3
5 Arta 13,260 2
6 Obock 11,706 2
Ramani ya kinaganaga zaidi
Jibuti, mji mkuu
Ali Sabieh

Miji mingine

[hariri | hariri chanzo]