Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Guinea-Bissau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Guinea-Bissau.
Barabara kuu ya Bissau, mji mkuu wa Guinea-Bissau.

Orodha ya miji ya Guinea-Bissau inataja miji ya Guinea Bisau yenye idadi ya wakazi iliyozidi 5,000 wakati wa sensa ya mwaka 2009.

Miji ya Guinea-Bissau
NafasiJinaWakazi
(sensa ya 2009)[1]
Mkoa
1Bissau387,909Bissau
2Gabú43,556Gabú
3Bafatá29,556Bafatá
4Canchungo12,044Cacheu
5Bissorã9,898Oio
6Farim9,005Oio
7Mansôa8,313Oio
8Buba7,898Quinara
9Cacheu5,891Cacheu
10Quinhámel5,825Biombo
11Quebo5,454Quinara
12Catió5,081Tombali
13Bolama5,026Bolama
  1. "Guinea-Bissau: Regions, Cities & Urban Localities – Population Statistics, Maps, Charts, Weather and Web Information".