Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Guinea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
A map of Guinea
Conakry, Guinea's capital city.
Nzérékoré.

Orodha ya miji ya Guinea inataja miji mikubwa 10 ya Guinea pamoja na idadi ya wakazi mwaka 2014, halafu miji mingine ya nchi hiyo.

Miji ya Guinea
NafasiJinaWakaziMkoa
Sensa 1983Sensa 1996Sensa 2014
1.Conakry710,3721,092,6311,660,973Conakry
2.Nzérékoré44,598107,329195,027Nzérékoré
3.Kankan55,010100,192190,722Kankan
4.ManéahN/A26,872167,354Kindia
5.Dubréka3,2055,763157,017Boké
6.Kindia39,12196,074138,695Kindia
7.Siguiri17,38826,881127,492Kankan
8.Kissidougou30,72466,02899,931Faranah
9.Labé23,62249,51292,654Labé
10.KamsarN/A62,59583,428Boké

Miji mingine

[hariri | hariri chanzo]