Orodha ya Waafrika tajiri zaidi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Orodha ya matajiri wakubwa Waafrika)
Orodha ya Waafrika tajiri zaidi (The Richest Africans) inataja kila mwaka matajiri wakubwa kabisa wa Afrika; inaandaliwa na kuchapishwa na gazeti la biashara la Marekani Forbes. Orodha hii imekuwa ikichapishwa toka mwaka 2015.
Mwanzilishi wa Dangote Group, Aliko Dangote, ndiye namba moja kwenye orodha ya 2018.[1] kati ya mabilionea 23 wa Afrika waliokuwepo kwenye orodha hiyo.[2]
Orodha ya kila mwaka
[hariri | hariri chanzo]2018
[hariri | hariri chanzo]| Na. | Jina | Utajiri (USD) | Umri | Utaifa | Chanzo cha utajiri |
|---|---|---|---|---|---|
| 1 ▬ | Aliko Dangote | $10.7 billion ▲ | 61 | Dangote Industries.[3] | |
| 2 ▬ | Nicky Oppenheimer | $8.8 billion ▲ | 73 | diamonds, gold | |
| 3 | Johann Rupert | $7.2 billion ▲ | 68 | Telmex, Richemont | |
| 4 ▬ | Nassef Sawiris | $6.8 billion ▲ | 57 | Orascom | |
| 5 ▬ | Mike Adenuga | $5.3 billion ▲ | 65 | Globacom | |
| 6 ▬ | Issad Rebrab | $4 billion ▲ | 74 | CEVITAL Group | |
| 7 ▬ | Naguib Sawiris | $4 billion ▲ | 64 | Orascom | |
| 8 ▬ | Koos Bekker | $2.8 billion ▲ | 65 | Naspers | |
| 9 ▬ | Isabel dos Santos | $2.7 billion ▲ | 45 | Investments | |
| 10 ▬ | Mohamed Mansour | $2.7 billion ▲ | 70 | Mansour Group |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Papadopoulos, Anna (22 Oktoba 2018). "Africa's Billionaires: Top 25 Richest People In Africa, 2018". CEOWORLD magazine. Iliwekwa mnamo 5 Juni 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Dolan, Kerry A. (10 Januari 2018). "African Billionaire Fortunes Rise On Forbes 2018 List Of Continent's Richest". Forbes. Iliwekwa mnamo 5 Juni 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Anon (n.d.). "Aliko Dangote". Forbes. Iliwekwa mnamo 5 Juni 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)