Orodha ya lugha za Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kenya ni nchi ya lugha nyingi. Lugha zake za taifa ni Kiswahili na Kiingereza. Kuna jumla ya lugha 62 zinazozungumzwa nchini Kenya (kulingana na Ethnologue), nyingi zikiwa za asili ya Kiafrika na baadhi za asili ya Kiasia na Mashariki ya Kati.

Familia za Lugha[hariri | hariri chanzo]

Lugha za asili nchini Kenya zimetokana na familia tatu:

Orodha ya Lugha[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]