Orodha ya kaunti za Kenya kwa Kiashiria cha Maendeleo ya Binadamu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Orodha ya kaunti za Kenya kulingana na viashirio vya maendeleo ya watu)

Hii ni Orodha ya Kaunti za Kenya kulingana na Kiashiria cha Maendeleo ya Watu mnamo 2023. Kaunti ya Nairobi ina kiwango cha juu zaidi (0.771) huku Kaunti ya Mandera ikiwa na kiwango cha chini zaidi (0.548). Maendeleo ya Kenya kwa jumla ni 0.602 hadi mwaka 2023, hivyo ni Nchi iliyostawi kwa kiwango cha kati.Isipokuwa Nairobi Eneo la Kati lina maendeleo ya juu sana ikilinganishwa na maeneo mengine. Kaunti za Kazkazini mashariki ndizo zilikuwa na Maendeleo ya Chini kabisa. Maendeleo ya watu nchini kenya imeongezeka sana kwa sababu ya uboreshaji wa huduma za afya.[1]