Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na umaskini wa vipengele vingi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kulingana na UNDP (Programu ya maendeleo ya Umoja wa taifa), Aslimia 83.2% ya watu walio na umaskini wa vipengele vingi duniani wanaishi Afrika ya Kusini kwa Sahara na Asia ya Kusini 553M na 404M mtawalia.Kati ya milioni 553 waliotajwa kama maskini wa Vipengele nyingi, 85.8% waliishi maeneo ya vijijini[1].Somalia , Jamhuri ya Afrika ya Kati , Chad ni nchi zilizokuwa na Umaskini Wa vipengele Vingi mwingi sana , Asilimia 80%+. Ushelisheli, Morisi, Tunisia na Aljeria ndizo zilizokuwa na Umaskini wa vipengele vingi wa chini kabisa china ya asilimia 2%

Umaskini wa Vipengele Vingi
Umaskini wa vipengele vingi
RankCountryUmaskini wa vipengele vingi (%)
1Somalia83.8
2Jamhuri ya Afrika ya Kati83.1
3Burundi82.5
4Chad80.4
5Jamhuri ya Kongo78.3
6Niger74.8
7Sudan Kusini74.8
8Ethiopia68.7
9Madagaska68.4
10Mali68.3
11Guinea66.2
12Burkina Faso64.5
13Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo64.5
14Guinea-Bissau64.2
15Nigeria62.9
16Msumbiji60.7
17Sierra Leone59.2
18Mauritania58.4
19Benin55.9
20Uganda55.1
21Eritrea52.8
22Liberia52.3
23Sudan52.3
24Senegal50.8
25Malawi49.9
26Rwanda48.8
27Zambia47.9
28Tanzania47.2
29KamerUn43.6
30Cape Verde43.6
31Côte d'Ivoire42.3
32Gambia41.7
33Angola41.2
34Jibuti33.66
35Namibia27.94
36Guinea ya Ikweta27.8
37Togo26.4
38Zimbabwe25.8
39Kenya25.4
40Ghana24.8
41Lesotho19.6
42Comoros19.2
43São Tomé na Príncipe11.7
44Botswana10.2
45Gabon8.6
46Eswatini7.9
47Moroko6.4
48Afrika Kusini6.3
49Misri2.94
50Libya2.94
51Algeria1.4
52Tunisia1.0
53Shelisheli0.9
54Mauritius0.4
  1. "Multidimensional poverty in Sub Saharan rural areas".