Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Mikoa ya Tanzania kwa Kiashiria cha Maendeleo ya Binadamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mikoa ya Tanzania kulingana na Maendeleo ya Binadamu

Hii ni Orodha ya Mikoa ya Tanzania kwa Kiashiria cha Maendeleo ya Binadamu

Kiashiria cha Maendeleo ya Binadamu kwa Mkoa nchini Tanzania
CheoMkoaHDI
Maendeleo ya Kati
1Zanzibar (mji)0.678
2Dar es Salaam0.653
3Kilimanjaro0.640
4Zanzibar Kusini0.639
5Pemba Kusini0.603
6Zanzibar Kaskazini0.584
7Iringa0.577
Njombe
8Tanga0.569
9Arusha0.568
Manyara
10Ruvuma0.555
11Singida0.554
Maendeleo ya Chini
12Pemba Kaskazini0.548
13Morogoro0.546
14Mbeya0.543
15Mara0.541
16Pwani0.525
17Geita0.523
Mwanza
18Kagera0.521
19Kigoma0.520
20Lindi0.509
21Shinyanga0.508
Simiyu
22Mtwara0.507
23Dodoma0.497
24Katavi0.483
Rukwa
25Tabora0.482