Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Zanzibar
Mandhari
| Tanzania |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Hii ni orodha ya wakuu wa serikali wa Zanzibar, eneo lenye mamlaka nusu-huru ndani ya Tanzania. Ofisi ya Waziri Kiongozi (baadaye ikabadilishwa jina kuwa Waziri Mkuu) ilianzishwa mwaka 1961 na kufutwa mwaka 2010, ikiwa hapo awali iliwahi kufutwa kati ya 1964 na 1983.
Orodha ya waliowahi kushika wadhifa
[hariri | hariri chanzo]- Vyama vya siasa
Serikali ya muungano (ZPPP + ZNP) Afro-Shirazi Party (ASP) Chama Cha Mapinduzi (CCM)
- Makundi mengine
- Hali
Inaashiria Waziri Kiongozi wa mpito
Mawaziri Kiongozi wa Usultani wa Zanzibar
[hariri | hariri chanzo]| Na. | Picha | Jina (Kuzaliwa–Kufariki) |
Muda wa kuhudumu | Chama cha siasa | Sultani | |||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Alipoingia madarakani | Alipoondoka | Muda aliokaa madarakani | ||||||
| – | Geoffrey Charles Lawrence (1915–1994) |
23 Februari 1961 | 5 Juni 1961 | 102 siku | Huru | Abdullah | ||
| 1 | Muhammad Shamte Hamadi (1907–1984) |
5 Juni 1961 | 24 Juni 1963 | 2 miaka, 19 siku | Muungano (ZPPP + ZNP) | |||
Waziri Mkuu wa Usultani wa Zanzibar
[hariri | hariri chanzo]| Na. | Picha | Jina (Kuzaliwa–Kufariki) |
Muda wa kuhudumu | Chama cha siasa | Sultani | |||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Alipoingia madarakani | Alipoondoka | Muda aliokaa madarakani | ||||||
| 1 | Muhammad Shamte Hamadi (1907–1984) |
24 Juni 1963 | 12 Januari 1964 (Aliondolewa) |
202 siku | Muungano (ZPPP + ZNP) |
Abdullah Jamshid | ||
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
[hariri | hariri chanzo]| Na. | Picha | Jina (Kuzaliwa–Kufariki) |
Muda wa kuhudumu | Chama cha siasa | Rais | |||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Alipoingia madarakani | Alipoondoka | Muda aliokaa madarakani | ||||||
| 1 | Abdullah Kassim Hanga (1932–1969) |
12 Januari 1964 | 27 Aprili 1964 | 106 siku | ASP | A. Karume | ||
Mawaziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
[hariri | hariri chanzo]| Na. | Picha | Jina (Kuzaliwa–Kufariki) |
Muda wa kuhudumu | Chama cha siasa | Rais | ||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Alipoingia madarakani | Alipoondoka | Muda aliokaa madarakani | |||||||
| Wadhifa ulifutwa (27 Aprili 1964 – 21 Februari 1983) | |||||||||
| 1 | Ramadani Baki (amezaliwa 1943) |
21 Februari 1983 | 6 Februari 1984 | 350 siku | CCM | Jumbe Mwinyi | |||
| 2 | Seif Sharif Hamad (1943–2021) |
6 Februari 1984 | 22 Januari 1988 | 4 miaka, 16 siku | CCM | Mwinyi Wakil | |||
| 3 | Omar Ali Juma (1941–2001) |
25 Januari 1988 | 1 Novemba 1995 | 7 miaka, 280 siku | CCM | Wakil Amour | |||
| 4 | Mohamed Gharib Bilal (amezaliwa 1945) |
1 Novemba 1995 | 15 Novemba 2000 | 5 miaka, 14 siku | CCM | Amour A. A. Karume | |||
| 5 | Shamsi Vuai Nahodha (amezaliwa 1962) |
15 Novemba 2000 | 9 Novemba 2010 | 9 miaka, 359 siku | CCM | Karume Shein | |||
| Wadhifa ulifutwa (9 Novemba 2010 – sasa) | |||||||||
Mlolongo wa matukio
[hariri | hariri chanzo]Timeline error. Could not store output files
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]
- Siasa ya Tanzania
- Orodha ya magavana wa Tanganyika
- Rais wa Tanzania
- Makamu wa Rais wa Tanzania
- Waziri Mkuu wa Tanzania
- Orodha ya masultani wa Zanzibar
- Rais wa Zanzibar
- Makamu wa Rais wa Zanzibar