Orodha ya Marais wa Bolivia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orodha hii inataja marais wa nchi ya Bolivia.

Orodha ya Marais wa Bolivia (1825 hadi sasa)[hariri | hariri chanzo]

Marais wa Uhuru (1825-1826)[hariri | hariri chanzo]

Tarehe ya kuanza Tarehe ya kwisha Jina Chama chake
11 Agosti 1825 28 Mei 1826 Simón Bolívar Utawala wa kijeshi
28 Mei 1826 19 Juni 1826 Antonio José de Sucre Utawala wa kijeshi

Marais wa Jamhuri ya Bolivia (1826-1964)[hariri | hariri chanzo]

Tarehe ya kuanza Tarehe ya kwisha Jina Chama chake
19 Juni 1826 18 Aprili 1828 Antonio José de Sucre Utawala wa kijeshi
18 Aprili 1828 2 Agosti 1828 José María Pérez de Urdininea Utawala wa kijeshi
2 Agosti 1828 18 Desemba 1828 José Miguel de Velasco Franco Utawala wa kijeshi
18 Desemba 1828 31 Desemba 1828 Pedro Blanco (mtendaji) Utawala wa kijeshi
1 Januari 1829 24 Mei 1829 José Miguel de Velasco Franco (mara ya pili) Utawala wa kijeshi
24 Mei 1829 20 Februari 1839 Andrés de Santa Cruz Utawala wa kijeshi
20 Februari 1839 10 Juni 1841 José Miguel de Velasco Franco (mara ya tatu) Utawala wa kijeshi
10 Juni 1841 9 Julai 1841 Sebastián Ágreda (mtendaji) Utawala wa kijeshi
9 Julai 1841 22 Septemba 1841 Mariano Calvo (mtendaji) Utawala wa kijeshi
22 Septemba 1841 23 Desemba 1847 José Ballivián Utawala wa kijeshi
23 Desemba 1847 2 Januari 1848 Eusebio Guilarte Vera (mtendaji) Utawala wa kijeshi
6 Januari 1848 18 Januari 1848 Manuel Isidoro Belzu (mtendaji) Chama cha wananchi (Populist Party)
18 Januari 1848 6 Desemba 1848 José Miguel de Velasco Franco (mara ya nne) Utawala wa kijeshi
6 Desemba 1848 15 Agosti 1855 Manuel Isidoro Belzu (mara ya pili) Chama cha wananchi (Populist Party)
15 Agosti 1855 21 Oktoba 1857 Jorge Córdova Chama cha wananchi (Populist Party)
21 Oktoba 1857 14 Januari 1861 José María Linares (mtendaji) Chama cha "Generator" (Generator Party)
14 Januari 1861 4 Mei 1861 Baraza la majeshi Utawala wa kijeshi
4 Mei 1861 28 Desemba 1864 José María Acha Utawala wa kijeshi
28 Desemba 1864 15 Januari 1871 Mariano Melgarejo Utawala wa kijeshi
15 Januari 1871 27 Novemba 1872 Agustín Morales Chama cha Uhuru (Liberal Party)
27 Novemba 1872 28 Novemba 1872 Juan de Dios Bosque (mtendaji) bila chama
28 Novemba 1872 9 Mei 1873 Tomás Frías Ametller Chama cha Uhuru (Liberal Party)
9 Mei 1873 14 Februari 1874 Adolfo Ballivián Utawala wa kijeshi
14 Februari 1874 4 Mei 1876 Tomás Frías Ametller (mara ya pili) Chama cha Uhuru (Liberal Party)
4 Mei 1876 28 Desemba 1879 Hilarión Daza (mtendaji) Utawala wa kijeshi
28 Desemba 1879 17 Januari 1880 Uladislao Silva Utawala wa kijeshi
19 Januari 1880 31 Mei 1880 Narciso Campero bila chama
31 Mei 1880 19 Juni 1880 Aniceto Arce (mtendaji) Chama cha "Kale" (Conservative Party)
19 Juni 1880 3 Septemba 1884 Narciso Campero (mara ya pili) Chama cha "Kale" (Conservative Party)
3 Septemba 1884 15 Agosti 1888 Gregorio Pacheco Chama cha "Kale" (Conservative Party)
15 Agosti 1888 11 Agosti 1892 Aniceto Arce (mara ya pili) Chama cha "Kale" (Conservative Party)
11 Agosti 1892 19 Agosti 1896 Mariano Baptista Chama cha "Kale" (Conservative Party)
19 Agosti 1896 12 Aprili 1899 Severo Fernández Chama cha "Kale" (Conservative Party)
12 Aprili 1899 25 Oktoba 1899 Serapio Reyes Ortiz Chama cha Uhuru (Liberal Party)
25 Oktoba 1899 14 Agosti 1904 José Manuel Pando Chama cha Uhuru (Liberal Party)
14 Oktoba 1904 12 Oktoba 1909 Ismael Montes Chama cha Uhuru (Liberal Party)
12 Oktoba 1909 14 Oktoba 1913 Eliodoro Villazón Chama cha Uhuru (Liberal Party)
14 Oktoba 1913 15 Oktoba 1917 Ismael Montes (mara ya pili) Chama cha Uhuru (Liberal Party)
15 Oktoba 1917 12 Julai 1920 José Gutiérrez Chama cha Uhuru (Liberal Party)
12 Julai 1920 13 Julai 1920 Bautista Saavedra Chama cha Jamhuri (Republican Party)
13 Julai 1920 28 Januari 1921 Baraza la majeshi Chama cha Jamhuri (Republican Party)
28 Januari 1921 3 Septemba 1925 Bautista Saavedra (mara ya pili) Chama cha Jamhuri (Republican Party)
3 Septemba 1925 10 Januari 1926 Felipe S. Guzmán (mtendaji) Chama cha Jamhuri (Republican Party)
10 Januari 1926 28 Mei 1930 Hernando Siles Reyes Chama cha Jamhuri (Republican Party)
28 Mei 1930 25 Juni 1930 Baraza la mawaziri
28 Juni 1930 5 Machi 1931 Carlos Blanco Galindo Utawala wa kijeshi
5 Machi 1931 27 Novemba 1934 Daniel Salamanca Urey Chama cha Jamhuri (Republican Party)
28 Novemba 1934 17 Mei 1936 José Luis Tejada Sorzano Chama cha Uhuru (Liberal Party)
17 Mei 1936 20 Mei 1936 Germán Busch Utawala wa kijeshi
20 Mei 1936 13 Julai 1937 David Toro Utawala wa kijeshi
13 Julai 1937 23 Agosti 1939 Germán Busch (mara ya pili) Utawala wa kijeshi
23 Agosti 1939 15 Aprili 1940 Carlos Quintanilla (mtendaji) Utawala wa kijeshi
15 Aprili 1940 20 Desemba 1943 Enrique Peñaranda Utawala wa kijeshi
20 Desemba 1943 21 Julai 1946 Gualberto Villarroel López Utawala wa kijeshi
21 Julai 1946 15 Agosti 1946 Néstor Guillén bila chama
15 Agosti 1946 10 Machi 1947 Tomás Monje bila chama
10 Machi 1947 22 Oktoba 1949 Enrique Hertzog Chama cha Umoja wa Usoshalisti na Jamhuri (Socialist Republican Union Party)
22 Oktoba 1949 16 Mei 1951 Mamerto Urriolagoitia (mtendaji) Chama cha Umoja wa Usoshalisti na Jamhuri (Socialist Republican Union Party)
16 Mei 1951 11 Aprili 1952 Hugo Ballivián Utawala wa kijeshi
11 Aprili 1952 16 Aprili 1952 Hernán Siles Zuazo (mtendaji) Tapo la Mapinduzi ya Kitaifa (Nationalist Revolutionary Movement)
16 Aprili 1952 6 Agosti 1956 Víctor Paz Estenssoro Tapo la Mapinduzi ya Kitaifa (Nationalist Revolutionary Movement)
6 Agosti 1956 6 Agosti 1960 Hernán Siles Zuazo (mtendaji) Tapo la Mapinduzi ya Kitaifa (Nationalist Revolutionary Movement)
6 Agosti 1960 4 Novemba 1964 Víctor Paz Estenssoro (mara ya pili) Tapo la Mapinduzi ya Kitaifa (Nationalist Revolutionary Movement)

Wenyekiti wa Baraza la Majeshi (1964-1966)[hariri | hariri chanzo]

Tarehe ya kuanza Tarehe ya kwisha Jina Chama chake
4 Novemba 1964 5 Novemba 1964 Alfredo Ovando Candía Utawala wa kijeshi
5 Novemba 1964 26 Mei 1965 René Barrientos Utawala wa kijeshi
26 Mei 1965 4 Januari 1966 René Barrientos (mara ya pili) pamoja na Alfredo Ovando Candía (mara ya pili) Utawala wa kijeshi
4 Januari 1966 6 Agosti 1966 Alfredo Ovando Candía (mara ya tatu) Utawala wa kijeshi

Marais wa Jamhuri ya Bolivia (1966 hadi sasa)[hariri | hariri chanzo]

Tarehe ya kuanza Tarehe ya kwisha Jina Chama chake
6 Agosti 1966 27 Aprili 1969 René Barrientos Umoja wa Mapinduzi ya Bolivia (Bolivian Revolution Front)
27 Aprili 1969 26 Septemba 1969 Luis Adolfo Siles Salinas Chama cha Kijamaa-Demokrasia (Social Democratic Party) na Umoja wa Mapinduzi ya Bolivia (Bolivian Revolution Front)
26 Septemba 1969 6 Oktoba 1970 Alfredo Ovando Candía Utawala wa kijeshi
6 Oktoba 1970 7 Oktoba 1970 Baraza la Majeshi Utawala wa kijeshi
7 Oktoba 1970 21 Agosti 1971 Juan José Torres Utawala wa kijeshi
21 Agosti 1971 22 Agosti 1971 Baraza la Majeshi Utawala wa kijeshi
22 Agosti 1971 21 Julai 1978 Hugo Banzer Utawala wa kijeshi
21 Julai 1978 21 Julai 1978 Víctor González Fuentes Utawala wa kijeshi
21 Julai 1978 24 Novemba 1978 Juan Pereda Utawala wa kijeshi
24 Novemba 1978 8 Agosti 1979 David Padilla Utawala wa kijeshi
8 Agosti 1979 1 Novemba 1979 Wálter Guevara (mtendaji) "Authentic Nationalist Revolutionary Movement"
1 Novemba 1979 16 Novemba 1979 Alberto Natusch Utawala wa kijeshi
17 Novemba 1979 18 Julai 1980 Lydia Gueiler Tejada (acting) "Revolutionary Party of the National Left"
18 Julai 1980 18 Julai 1980 Baraza la Majeshi Utawala wa kijeshi
18 Julai 1980 4 Agosti 1981 Luis García Meza Tejada (mara ya pili) Utawala wa kijeshi
4 Agosti 1981 4 Septemba 1981 Baraza la Majeshi Utawala wa kijeshi
4 Septemba 1981 19 Julai 1982 Celso Torrelio Utawala wa kijeshi
19 Julai 1982 21 Julai 1982 Baraza la Majeshi Utawala wa kijeshi
21 Julai 1982 10 Oktoba 1982 Guido Vildoso Utawala wa kijeshi
10 Oktoba 1982 6 Agosti 1985 Hernán Siles Zuazo (mara ya tatu) "Nationalist Revolutionary Left Movement"
6 Agosti 1985 6 Agosti 1989 Víctor Paz Estenssoro (mara ya tatu) Tapo la Mapinduzi ya Kitaifa (Nationalist Revolutionary Movement)
6 Agosti 1989 6 Agosti 1993 Jaime Paz Zamora Movement of Revolutionary Left
6 Agosti 1993 6 Agosti 1997 Gonzalo Sánchez de Lozada Tapo la Mapinduzi ya Kitaifa (Nationalist Revolutionary Movement)
6 Agosti 1997 7 Agosti 2001 Hugo Banzer (mara ya pili) Umoja wa Demokrasia wa Kitaifa (Nationalist Democratic Alliance)
7 Agosti 2001 6 Agosti 2002 Jorge Quiroga (acting for Banzer 1 Julai - 7 Agosti 2001) Umoja wa Demokrasia wa Kitaifa (Nationalist Democratic Alliance)
6 Agosti 2002 17 Oktoba 2003 Gonzalo Sánchez de Lozada (2nd time) Tapo la Mapinduzi ya Kitaifa (Nationalist Revolutionary Movement)
17 Oktoba 2003 9 Juni 2005 Carlos Mesa bila chama
9 Juni 2005 22 Januari 2006 Eduardo Rodríguez bila chama
22 Januari 2006 Present Evo Morales Tapo la Kuelekea Ujamaa ("Movement Towards Socialism")

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]