Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya kaunti za Kenya kwa Pato la Taifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pato la Taifa la Kenya lilikuwa bilioni 116.20 mnamo 2024 . Kaunti ya Nairobi ilichangia 27% kwa Pato la taifa ikiwa na pato la taifa dola bilioni 29.54 . Kaunti ya Nakuru,Kaunti ya Mombasa na Kaunti ya Mombasa pia ziliongoza kwa Pato la taifa, Kaunti ya Isiolo na Kaunti ya Samburu ndizo zilizokuwa na pato la taifa chache zaidi. Kaunti ya Nairobi , Kaunti ya Mombasa na Kaunti ya Nakuru ziliongoza kwa pato la taifa kwa kila mtu huku Kaunti ya Mandera, Kaunti ya Wajir na Kaunti ya Garissa zikiwa na Pato la taifa kwa Kila mtu chache sana. [1]

RankKauntiPLT (Kawaida)
(USD'bilioni)
PLT (PPP)
(USD'bilioni)
Kwa Kila mtu
(Kawaida)
Kwa Kila Mtu
(PPP)
1 Nairobi29.54488.0386,32418,844
2 Nakuru6.09118.1512,6497,894
3 Kiambu5.89817.5752,2666,754
4 Mombasa5.15915.3744,01811,974
5 Meru3.75211.1802,3366,962
6 Machakos3.45610.2982,3476,994
7 Uasin Gishu2.7088.0682,1976,546
8 Kisumu2.6617.9292,1676,459
9 Kilifi2.2976.8461,4844,423
10 Kakamega2.2626.7411,1503,426
11 Bungoma2.0836.2071,1853,530
12 Kisii2.0816.2021,5624,656
13 Murang’a2.0706.1691,8815,606
14 Nyeri2.0566.1262,4877,410
15 Narok1.8475.5051,4804,409
16 Trans Nzoia1.7965.3531,7125,101
17 Kericho1.7875.3261,8975,652
18 Kajiado1.7185.1201,3874,134
19 Nandi1.6965.0541,8125,399
20 Bomet1.6424.8921,7715,277
21 Nyandarua1.6344.8682,3937,130
22 Embu1.5104.4992,3537,011
23 Homa Bay1.4304.2611,1833,526
24 Kitui1.3924.1471,1453,413
25 Kirinyaga1.3594.0512,0986,253
26 Kwale1.2813.8181,3894,138
27 Migori1.2523.7321,0393,097
28 Turkana1.2113.6081,2143,617
29 Makueni1.1723.4911,1373,387
30 Nyamira1.1703.4861,7905,335
31 Siaya1.1193.3331,0753,203
32 Elgeyo/Marakwet1.0863.2352,2236,625
33 Laikipia0.9932.9601,8055,378
34 Busia0.9602.8601,0103,010
35 Vihiga0.8462.5201,3634,061
36 Baringo0.8282.4661,1533,436
37 West Pokot0.8102.4131,2253,650
38 Taita/Taveta0.6892.0541,9185,714
39 Tharaka-Nithi0.6822.0311,6554,931
40 Marsabit0.6651.9821,3213,937
41 Garissa0.5881.7516491,935
42 Mandera0.5411.6125791,724
43 Wajir0.5361.5966311,882
44 Lamu0.3941.1752,4177,203
45 Tana River0.3361.0009762,910
46 Samburu0.3050.9109012,684
47 Isiolo0.2920.8699452,817
  1. "KNBS GCP 2024" (PDF). www.knbs.or.ke (kwa Kiingereza). KNBS. 2024-12-02. Iliwekwa mnamo 2025-04-19.