Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Kaunti za Kenya kwa Idadi ya Wakristo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orodha ya Kaunti za Kenya kwa idadi ya Wakristo inaonyesha kwamba Kisii, Kirinyaga na Nyamira ndizo kaunti zilizokuwa na asilimia kubwa zaidi ya Wakristo wakifikia kuwa zaidi ya 98%. Mandera na Wajir zilikuwa na asilimia chache zaidi ya Wakristo zikiwa na asilimia chini ya 1. Kwa idadi Nairobi, Kiambu na Nakuru ndizo zilizokuwa na wafuasi wengi zaidi zikiwa na Wakristo milioni mbili huku Wajir na Mandera zikiwa na wafuasi chini ya 10,000. Kaunti za kaskazini mashariki mwa Kenya ndizo zilizokuwa na wafuasi wachache zaidi kwa sababu ya Uislamu zikifuatwa na eneo la Pwani. Kaunti za kati, Kaunti za magharibi na Kaunti za Mashariki ya chini ndizo zilizokuwa na wafuasi wengi zaidi.[1]

# Kaunti Idadi ya Wakristo Asilimia
- Kenya40,374,08785.50%
1 Kisii1,238,85698.28%
2 Nyamira592,38398.23%
3 Kirinyaga592,15797.78%
4 Nyeri735,73197.75%
5 Elgeyo/Marakwet443,17397.74%
6 Machakos1,381,24897.68%
7 Makueni954,30497.68%
8 Murang'a1,028,15097.64%
9 Tharaka-Nithi381,09497.39%
10 Embu588,95997.39%
11 Vihiga571,77697.37%
12 Homa Bay1,094,54497.22%
13 Nandi858,77997.19%
14 Migori1,075,89797.02%
15 Bungoma1,609,15496.71%
16 Kiambu2,322,52096.66%
17 Trans Nzoia952,16796.63%
18 Siaya955,25096.52%
19 Meru1,478,27396.26%
20 Busia852,45296.12%
21 Nyandarua610,19595.94%
22 Uasin Gishu1,105,77895.93%
23 Kisumu1,098,06395.92%
24 Bomet833,94295.52%
25 Kitui1,078,42995.42%
26 Kericho854,26895.25%
27 Kajiado1,045,01794.38%
28 Nakuru2,007,37793.69%
29 Kakamega1,741,70593.57%
30 Laikipia473,89092.22%
31 Narok1,056,44791.88%
32 West Pokot567,43191.69%
33 Taita-Taveta305,61991.03%
34 Baringo595,92189.92%
35 Nairobi3,853,52788.85%
36 Turkana802,05386.97%
37 Samburu260,53484.60%
38 Kilifi977,52267.84%
39 Mombasa713,05659.87%
40 Lamu66,66046.97%
41 Kwale312,05836.34%
42 Marsabit156,42634.98%
43 Isiolo64,45724.05%
44 Tana River56,30217.89%
45 Garissa18,5552.22%
46 Wajir7,1680.92%
47 Mandera4,8200.56%
  1. "Religious Affiliation by County in Kenya" (PDF). www.africacheck.org (kwa Kiingereza). Africa Check. Iliwekwa mnamo 2025-05-15.