Orits Williki
Mandhari
Orits Wiliki ni mwanamuziki wa reggae kutoka nchini Nigeria ambaye alipata kutambuliwa baada ya mafanikio ya muziki wake wa mwaka 1989.[1] Na kuibuka mshindi mwaka 1990 na 1991 akaachia albamu yake ya ''LP Wha Dis Wha Dat''. Albamu ilikua na nyimbo nyingi zikiwemo nyimbo za kidini.[2] Ushawishi wa dini ulikuwa maarufu katika baadhi ya nyimbo zake na pia ilikuwa ni desturi ya watu wa jamii ya Nigeria. Wiliki ni mwanachama wa chama cha Musical Copyright Society nchini Nigeria
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Umahi, Sunday. "I am not mocking Muslims", Weekend Concord, February 8, 1992.
- ↑ "CMO Approval: How MCSN lost out", Daily Independent (Lagos), July 31, 2010.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orits Williki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |