Oreste Giorgi
Mandhari
Oreste Giorgi (19 Mei 1856 – 30 Desemba 1924) alikuwa askofu na Kardinali wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuwa Mkuu wa Mahakama Kuu ya Kitume ya Msamaha (Apostolic Penitentiary).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |