Ordu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:01, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q184539 (translate me))

Ordu ni jina la kutaja mji na bandari uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Huu ndiyo mji mkuu wa Jimbo la Ordu. Kiasili jina linamaa ya "jeshi" kwa Kituruki (lakini limetokana na Kiingereza cha kisasa yaani "horde"). Mji una wakazi takriban 136,000, kwa mujibu wa sensa walioifanya katika mwaka wa 2008. Mji upo m 5 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya Nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ordu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.