Nenda kwa yaliyomo

Oraimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Logo ya Oraimo

Oraimo ni kampuni ya teknolojia iliyoanzishwa mwaka 2013 chini ya Transsion Holdings, inayojulikana kwa kutengeneza vifaa vya elektroniki vya ubora wa hali ya juu. Inatengeneza bidhaa kama earphones (mfano FreePods), power banks, saa mahiri, chaja za simu, na spika za Bluetooth.

Oraimo inatoa vifaa vinavyodumu kwa muda mrefu kwa bei nafuu, ikilenga zaidi masoko ya Afrika na Asia. Kampuni hii imejipatia umaarufu kwa ubunifu wake na teknolojia inayozingatia mahitaji ya watumiaji wa kisasa[1].

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oraimo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.