Nenda kwa yaliyomo

Ophelia Hoff Saytumah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ophelia Hoff Saytumah ni mwanasiasa nchini Liberia. Aliwahi kuwa meya wa mji mkuu wa Liberia, Monrovia. Rais Charles Taylor alimchagua na kumteua kushika wadhifa huo mwaka 2001.[1]

  1. Poquie, Festus (11 Januari 2010). "MCC Jackpot Scam Busted". New Democrat. allAfrica. Iliwekwa mnamo 3 Februari 2010.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ophelia Hoff Saytumah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.