Nenda kwa yaliyomo

Opeyemi Ajakaye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Opeyemi Esther Ajakaye (alizaliwa tarehe 30 Desemba 2005) ni mchezaji wa soka wa kitaaluma kutoka Nigeria anayekipiga katika nafasi ya mshambuliaji. Anaichezea klabu ya FC Robo inayoshiriki NWFL Premiership, pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Alishinda medali ya shaba akiwa na timu ya Flamingoes kwenye Kombe la Dunia la Wanawake chini ya miaka 17 la FIFA mwaka 2022.[1][2]

  1. "Opeyemi Ajakaye Biography - ESPN (UK)". ESPN (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-07-14.
  2. "Summary - Opeyemi Ajakaye - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2025-07-14.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Opeyemi Ajakaye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.