Onwuchekwa Jemie
Mandhari
Onwuchekwa Jemie ni msomi, mshairi, mwandishi wa habari, na profesa wa Nigeria.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Jemie alizaliwa katika Jimbo la Abia, Nigeria, na alipata elimu yake katika Taasisi ya Mafunzo ya Hope Waddell huko Calabar pia alipata Shahada ya kwanza ya Sanaa kutoka Chuo Kikuu cha Columbia, na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Harvard, kabla ya kurejea Chuo Kikuu cha Columbia kwa ajili ya Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Kiingereza na fasihi linganishi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Onwuchekwa Jemie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |