Nenda kwa yaliyomo

Onofrio de Santa Croce

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Onofrio de Santa Croce (alifariki 20 Oktoba 1471) alikuwa kardinali na askofu wa Tricarico katika Ufalme wa Napoli. Alizaliwa Roma na alifariki huko.

Mnamo 1467 alitumwa na Papa Paulo II kama balozi wa Papa ili kujaribu upatanisho kati ya Utemi wa Bourgogne uliokuwa ukipanuka na Prince-Bishopric ya Liège katika vita vya pili vya Liège kuhusu hamu ya Liège ya kupata uhuru wa kisiasa. [1][2]

  1. Andrew R. Scoble, The Memoirs of Philip de Commines, Lord of Argenton (London, 1855), vol. 1, p. 147 online.
  2. Robert Douglas Smith and Kelly DeVries, The Artillery of the Dukes of Burgundy, 1363–1477 (Boydell, 2005), p. 161 online. See also Godefroid Kurth, La Cité de Liège au Moyen-Age p. 281 online.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.