Nenda kwa yaliyomo

Ondřej Sekora

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ondřej Sekora (25 Septemba 1899 - 4 Julai 1967) alikuwa mchoraji, mwandishi, mwandishi wa habari na mtaalamu wa wadudu kutoka Ucheki. Alijulikana zaidi kama mwandishi wa vitabu vya watoto. Sekora pia alikuwa mmoja wa waenezaji wa kwanza wa raga nchini Chekoslovakia[1].

  1. ↑ Menclová, Věra; Vaněk, Václav, whr. (2005). Slovník českých spisovatelů [Dictionary of Czech Writers] (kwa Kicheki). Prague: Libri. uk. 588. ISBN 80-7277-179-5.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ondřej Sekora kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.