Omphile Maotwe
Mandhari
Omphile Mankoba Confidence Maotwe ni mwanasiasa kutoka Afrika Kusini.[1][2] Mnamo tarehe 14 Desemba 2019 alichaguliwa kuwa Mweka Hazina Mkuu wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), akimrithi Leigh-Ann Mathys. Maotwe alikua Mbunge (Member of Parliament) tarehe 31 Oktoba 2019. Kabla ya hapo, alikuwa akihudumu ndani ya EFF katika mkoa wa Gauteng, ambapo alishika nafasi ya msemaji wa chama pamoja na kuwa mweka hazina wa chama.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Gardee denies axed EFF member was unfairly dismissed". The Citizen. 7 Novemba 2019. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2020.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "List of members 6th Parliament" (PDF). Parliamentary Monitoring Group.
- ↑ Deklerk, Aphiwe; Mvumvu, Zingisa (15 Desemba 2019). "Five more years as EFF boss for Julius Malema". TimesLIVE. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2020.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Omphile Maotwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |