Omotu Bissong
Mandhari
Omotu Bissong (alizaliwa kwa jina la Cecilia Ohumotu Bissong) ni mwigizaji wa Nigeria, mtangazaji wa televisheni, mwanamitindo na mshindi wa taji la urembo nchini Nigeria. Alishinda taji la msichana mrembo zaidi nchini Nigeria mwaka 2003, na aliiwakilisha nchi yake kwenye mashindano ya Miss World na Miss Universe 2003. Anajulikana kama Funke Lawal kwenye tamthilia ya Desperate Housewives Africa.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Lifestyle, TheCable (2017-02-11). "INTERVIEW: No, I don't think marriage is a scam, says Omotu Bissong". TheCable Lifestyle (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-06-30.
- ↑ Celia wins MBGN
- ↑ Celia's Future Endeavours,
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Omotu Bissong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |