Nenda kwa yaliyomo

Omary Ahmad Badwel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Omary Ahmad Badwel Amezaliwa 5 Machi 1969 ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha siasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bahi kwa miaka 20152020. [1]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania Ilihifadhiwa 11 Mei 2017 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Mei 2017
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Omary Ahmad Badwel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.